FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Wednesday, 21 June 2017

GOODLUCK GOZBET ANAKUJA KATIKA KONGAMANO HILI NA ATAIMBA SIKU ZOTE MFULULIZO

 


#GOODLUCK GOZBERT ATAKUWEPO KATIKA KONGAMANO NA ATAIMBA "IPO SIKU" LIVE HII SIO YA KUKOSA.
Mwimbaji wa Kimataifa Ambaye Kwasasa Anafanya Vizuri Nchini Tanzania Goodluck Gozbert Atakuwepo Akiongoza Kongamano la Uponyaji na Miujiza Kwanjia Ya Kumuimbia Mungu,Atakuwepo Mwanzo Wa Kongamano Mpaka Mwisho Wa Kongamano Letu Ambalo Litaanza Tar 23-30/7/2017 Mjini Dodoma-Nyuma Ya Bunge-Mkabala Na Veta Club.Usipange Kukosa...
Anza Kualika Watu Wakabila Na Dini Zote.
GOODLUCK GOZBERT...........! NDANI YA KONGAMANO
TANZANIA ITASTAWI TENA.
#PROPHET LINUS TESHA.
#PROPHETIC MACHINE.

UTI x264

Nabii Linus Tesha amwombea asiyetembea na Kutembea Tena.

Prophet Linus Tesha, Atoa Unabii kwa Mama aliyefungwa Uzazi kwa Uchawi.

Tuesday, 20 June 2017

Unabii uliokomboa Maisha ya Mama Huyu. Major Prophet Linus Tesha.

KONGAMANO LA SIKU 8 ZA KUTAWALA NA KUIMARIKA KUTOKA 23-30/7/2017 MJINI DODOMA

#NABII LINUS TESHA ANAKULETEA SIKU 8 ZA KUTAWALA NA KUIMARIKA KATIKA KONGAMANO KUBWA LA UPONYAJI NA MIUJIZA NCHINI TANZANIA.
Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo na Ukombozi Nchini Tanzania Anakuletea Kongamano Kubwa La Uponyaji na Miujiza Kwa Muda Wa Siku 8 tu ,Kongamano Litaanza Tarehe 23-30/7/2017,Mjini Dodoma,Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club,Kwa Mawasiliano Zaidi Piga 0713040730 au 0719462642,
Ni saa Yako Ya Kutawala,Pale Walipokuzuia Usimiliki Haki Yako,Ni Saa Ya Kutawala Familia Bora,Kazi Bora,Elimu Bora,Fedha,Kibali Cha Heshima,Baraka zisizo na Majuto,Ni saa Ya Kuwatawala Maadui Zako Waliokutesa Siku Nyingi Pia Tambua Tanzania Itastawi tena na Uchumi Wake Utaimarika Katika Viwango Vya Kimataifa,Wenye Magonjwa Sugu Kama Kansa,Kisukari,Ukimwi,Figo Failure,Presha,Sroke na n.k....... Wote Watapokea Uponyaji,Miujiza na Ishara kubwa Zitafanyika Tanzania Na Watu Wake Wanakwenda Kubarikiwa,Mwenyeji Wa Kongamano Hili Ni Nabii Linus Tesha.
Wote Mnakaribishwa Usipange Kukosa.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.

Saturday, 17 June 2017

JUMAPILI YA KUPOKEA HESHIMA JIJINI DAR ES SALAAM BY PROPHET LINUS TESHA.



#Jumapili hii Ya Tarehe 18 mwezi June, usipange Kukosa Ni jumapili Ya kupokea Heshima Nitaanza ibada majira ya Saa nne, Asubuhi Hapa jijini Dar es salaam,Njia panda segerea nyuma ya godauni la ushirika,Naona Mungu Anakwenda Kurejesha Heshima Katika Elimu yako,.Kazini Kwako Katika Familia Yako Na Mahala Popote Walipo Kudharau Unakwenda Kupokea Kibali Cha Heshima...Be Connected.
Wote Mnakaribishwa.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.

Friday, 9 June 2017

JUMAPILI HII 11TH,JUNE UTAREJESHEWA HESHIMA-PROPHET LINUS TESHA



#JUMAPILI HII YA TAREHE 11,JUNE-2017, UTAREJESHEWA HESHIMA.
Shalom,Nakualika Katika ibada kuu ya Kurejeshewa Kibali cha Heshima,Kuanzia saa nne(4) Asubuhi Mahali ni Dodoma-nyuma ya Bunge mkabala na Veta Club,yamkini Umedharaulika sana katika ndoa yako,magonjwa sugu yanakusumbua,yamkini Biashara zako haziendi na umekuwa ukiishi na roho ya kukataliwa ,njoo upokee ukombozi kutoka kwa Bwana Yesu na Ibada hii itaendeshwa na Nabii Mkuu Major Prophet Linus Tesha.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.

Thursday, 1 June 2017

PROPHET-LINUS TESHA ATAMKA MWEZI HUU WA SITA UNAKWENDA KUHESHIMIKA

MWEZI WA SITA(6) NI MWEZI WA KUHESHIMIKA,John 12:26
Mwezi wa sita(6) ni mwezi wa kurejeshewa heshima,mwezi wa kuheshimika katika maisha yako,pia kumbuka wafalme na makuhani ndio wenye kupewa heshima.
June is a month of being *Honoured, Only Kings and Priests can be honoured........#Prophetic grace.