FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Saturday, 7 January 2017

IBADA YA KURUDI KWENYE NAFASI YANGU

                   "KURUDI KWENYE NAFASI YANGU"
Leo Katika Kanisa La MRD Dodoma Kutakuwa na Ibada ya Kurudi kwenye Nafasi yangu. Watu wengi wameshindwa kufanya Biashara kwa sababu Nafasi walipo sio nafasi zao. Njoo urejee katika nafasi yako ya kazi na biashara.
Mtumishi Mungu Apostle Elisha Mangwaji chini Ya mafuta ya Nabii Linus Tesha atakuwepo akifundisha na kuongoza Ibada.

Prophet Linus Tesha
"Prophetic machine"


Pokea nafasi mpya.

0 comments:

Post a Comment