FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Sunday, 24 December 2017

MKESHA MKUBWA WA CHRISTMASS NA NABII LINUS TESHA MJINI DODOMA.



Nabii Linus Tesha Kiongozi Wa Makanisa Ya Mrd Tanzania,Ataongoza Mkesha Mkubwa Wa Mery Christmass,Mjini Dodoma Nyuma Ya Bunge, Kuanzia Majira Ya Saa Mbili Usiku Kuamkia Siku Ambayo Tunakumbuka Kuzaliwa Kwa Mwokozi Yesu Kristo,Ambaye Alikuja Duniani Kwaajili Ya Maisha Yetu Sisi Wanadamu Na kwa kupitia yeye tupate kukombolewa,Nakualika wewe na familia yako siku ya leo usipange kukosa,kwa mawasiliano tupigie 0713040730/0765288541

Saturday, 23 December 2017

LEO JUMAPILI IBADA KUU YA SAFINA NA NABII LINUS TESHA MJINI DODOMA

Jumapili Ya Leo Nabii Mkuu Linus Tesha Atafanya Ibada Kubwa Itakayobeba Baraka Kuu Za Mungu Wakati Tukiwa Mwisho Wa Kumalizia Mwaka 2017,Kama Biblia Inavyotuambia Utukufu Wa Mwisho Utakuwa Ni Mkubwa Sana Kule Ule Wa Mwanzo,Kwahiyo Unakaribishwa Katika ibada hii itakayoanza mapema leo majira ya saa 2 asubuhi Hapa Mjini Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club,hakikisha unakuja na watu wa nyumbani mwako ilimpate kupokea Baraka Za kumaliza mwaka Vizuri.
Kwa Mawasiliano Za Huduma Zetu Tupigie Kwa Nambari.0713040730/0765288541