FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Saturday, 23 December 2017

LEO JUMAPILI IBADA KUU YA SAFINA NA NABII LINUS TESHA MJINI DODOMA

Jumapili Ya Leo Nabii Mkuu Linus Tesha Atafanya Ibada Kubwa Itakayobeba Baraka Kuu Za Mungu Wakati Tukiwa Mwisho Wa Kumalizia Mwaka 2017,Kama Biblia Inavyotuambia Utukufu Wa Mwisho Utakuwa Ni Mkubwa Sana Kule Ule Wa Mwanzo,Kwahiyo Unakaribishwa Katika ibada hii itakayoanza mapema leo majira ya saa 2 asubuhi Hapa Mjini Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club,hakikisha unakuja na watu wa nyumbani mwako ilimpate kupokea Baraka Za kumaliza mwaka Vizuri.
Kwa Mawasiliano Za Huduma Zetu Tupigie Kwa Nambari.0713040730/0765288541

0 comments:

Post a Comment