2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.
Sunday, 22 January 2017
Tuesday, 17 January 2017
NABII LINUS TESHA KUANZA SEMINA LEO MJINI DODOMA.
16:57
No comments
Nitafanya Semina Kubwa Kuanzia Leo Jumatano Mpaka Jumapili Ni Semina Inayohusu KUFUNGA MATESO na KUFUNGUA BARAKA Mahala Pa Semina Itakapofanyika Ni Nyuma Ya Bunge Mkabala na Veta Club Kwa Mawasiliano Zaidi Tupigie kwa Namba +255719462642 au +255713040730.
Nyote mnakaribishwa.
Nyote mnakaribishwa.
SEMINA KUFUNGA MATESO NA KUFUNGULIA BARAKA
11:29
No comments
Dodoma Mwisho wa Mateso yako ni sasa MRD Ministry....semina ya KUFUNGA MATESO NA KUFUNGULIA BARAKA ZA 2017
Semina hii inaanza Jumatano hii tarehe 18/01/2017.
Kumbuka kufika na ndugu,jamaa,marafiki,familia na wafanyabiashara.
Nyote Mnakaribishwa
Prophet Linus Tesha.
Prophetic Machine
Semina hii inaanza Jumatano hii tarehe 18/01/2017.
Kumbuka kufika na ndugu,jamaa,marafiki,familia na wafanyabiashara.
Nyote Mnakaribishwa
Prophet Linus Tesha.
Prophetic Machine
Sunday, 15 January 2017
SEMINA YA KUFUNGUA BARAKA ZA MWAKA 2017
20:54
No comments
MRD PROPHETIC MINISTRY
People from Different Place have gather today In Church To receive their Blessing of 2017
Friday, 13 January 2017
NABII LINUS TESHA AREJESHA MIMBA ILIYOKUWA IMEIBIWA NA PEPO
12:34
No comments
Ninampatia mama huyu Unabii kwamba naona Pepo wameiba ujauzito wako wa wiki 14.
Mama anajibu kwamba ni kweli hata ameenda hospitali na Madaktari wamemwambia kwamba hawaoni chochote kwenye Tumbo.
Baada ya Maombezi mimba iliyoibiwa na Pepo Inarejea Tumboni na Mtoto anaanza Kucheza. Mama anashangilia kwa Furaha sana.
Hakika Mungu wa Nabii Linus Tesha hakuna Jambo anashidwa kufanya.
Prophetic Machine.
Baraka zozote ambazo Shetani ameziiba, Ninatamka Zirejee
Pokeaaaa
Baraka zozote ambazo Shetani ameziiba, Ninatamka Zirejee
Pokeaaaa
Saturday, 7 January 2017
IBADA YA KURUDI KWENYE NAFASI YANGU
16:04
No comments
"KURUDI KWENYE NAFASI YANGU"
Leo Katika Kanisa La MRD Dodoma Kutakuwa na Ibada ya Kurudi kwenye Nafasi yangu. Watu wengi wameshindwa kufanya Biashara kwa sababu Nafasi walipo sio nafasi zao. Njoo urejee katika nafasi yako ya kazi na biashara.
Mtumishi Mungu Apostle Elisha Mangwaji chini Ya mafuta ya Nabii Linus Tesha atakuwepo akifundisha na kuongoza Ibada.
Prophet Linus Tesha
"Prophetic machine"
Pokea nafasi mpya.
Leo Katika Kanisa La MRD Dodoma Kutakuwa na Ibada ya Kurudi kwenye Nafasi yangu. Watu wengi wameshindwa kufanya Biashara kwa sababu Nafasi walipo sio nafasi zao. Njoo urejee katika nafasi yako ya kazi na biashara.
Mtumishi Mungu Apostle Elisha Mangwaji chini Ya mafuta ya Nabii Linus Tesha atakuwepo akifundisha na kuongoza Ibada.
Prophet Linus Tesha
"Prophetic machine"
Pokea nafasi mpya.






















