FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Tuesday, 17 January 2017

NABII LINUS TESHA KUANZA SEMINA LEO MJINI DODOMA.

Nitafanya Semina Kubwa Kuanzia Leo Jumatano Mpaka Jumapili Ni Semina Inayohusu KUFUNGA MATESO na KUFUNGUA BARAKA Mahala Pa Semina Itakapofanyika Ni Nyuma Ya Bunge Mkabala na Veta Club Kwa Mawasiliano Zaidi Tupigie kwa Namba +255719462642 au +255713040730.
Nyote mnakaribishwa.

0 comments:

Post a Comment