FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Wednesday, 30 August 2017

Jini mahaba lakimbia baada ya Kugundulika na Prophet Linus Tesha.

Instant Mirace with Major Prophet Linus Tesha

Monday, 28 August 2017

GOODLUCK GOZBERT IN CHAMPION SERVICE DAR ES SALAAM TZ WITH PROPHET LINUS TESHA




































































Katika Ibada Kubwa Ya Washindi Hapa Jijini Dar Es Salaam Tumepata Fursa Ya Kuwa Na Mwimbaji Maarufu Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Goodluck Gozbert,Tumebarikiwa na uwepo wake na Mungu anamtumia sana katika viwango vikubwa vya kimataifa ,Ibada Ya Jumapili ya tar 27.8.2017 Watu wengi wamefunguliwa na kupokea Baraka za kufanyika kuwa washindi juu ya maisha yao kupata update mbalimbali za huduma yetu ya mafunuo na ukombozi basi ungana na ukurasa wa facebook na instagram kwa kuandika prophet-linus Tesha.contact 0713040730