FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Monday, 31 July 2017

NABII LINUS TESHA ATANGAZA MWEZI WA NANE NI MWEZI WA MASHUJAA YAANI WASHINDI.

Nabii Linus Tesha Siku Ya 1/8/2017 Atangaza Rasmi Ni Mwezi Wa Mashujaa ,Nini Maana Ya Mashujaa?Mashujaa Ni Watu Washindi Siku Zote,Nabii Linus Tesha Akaendelea kusisitiza Yale Yote Yaliyoshindikana Kwa Miezi Saba Ndani Ya Mwezi Wa Nane Yanakwenda Kufanikiwa Katika Jina La Yesu....This is Heroes and Victorious Month.

Friday, 7 July 2017

ROSE MUHANDO,GOODLUCK GOZBERT,EMMANUEL LEMBO KUSHIRIKI KONGAMANO LA KITAIFA MJINI DODOMA.

Mwimbaji Maarufu Wa Kimataifa Rose Muhando Naye Atakuwepo Katika Kongamano Kubwa La Kitaifa Mjini Dodoma.....Utapangaje Kukosa,Huku Rose Kule Goodluck Gozbert Pale Emmanuel Lembo,Haijawai Tokea Tanzania......,#Prophet Linus Tesha.
#TANZANIA ITASTAWI TENA.
#Prophetic Machine.

Monday, 3 July 2017

KONGAMANO LA UPONYAJI NA MIUJIZA NA NABII LINUS TESHA.