FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Saturday, 16 June 2018

KUKUMBUKWA NA BWANA DAY 2 MJINI MOSHI,KILIMANJARO































Bwana Anaendelea Kutenda Mambo Makubwa Zaidi Kupitia Watumishi Wake Bishop Mwangasa Na Major Prophet Linus Tesha,Watu Wameponywa Na Kwa Maana Mungu Amewakumbuka,Na Wewe Atakukumbuka Katika Shida Zako Katika Jina La Yesu.

Friday, 15 June 2018

SIKU YA KWANZA KATIKA KONGAMANO KUBWA LA KUKUMBUKWA NA BWANA MJINI-MOSHI,KILIMANJARO
























Watu Waliponywa Na Kufunguliwa Kutoka Katika Viti Vya Enzi Na Laana Za Ukoo.