FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Monday, 26 March 2018

USIKU WA PASAKA DODOMA NA NABII LINUS TESHA




USIKU WA PASAKA
Ni Usiku Wa Baraka Usiku Wa Ushindi Mambo Makuu Yatadhiirika Kwako,Sio Mkesha Wa Kukosa,Ni Usiku Wa Mambo Mapya Kuanza Kwako,Nakukaribisha Alika Na Wengine.
Mema yanakuja kwako wiki hii!!
#Promxn.

Wednesday, 14 March 2018

BLESSINGS ARE PART OF YOU-PROPHET LINUS TESHA


Mungu atakubariki usiogope kukatishwa tamaa mwaka huu 2018,ni mwaka wa Kurithi Baraka Zako.
Prophet Linus Tesha.

Sunday, 11 March 2018

SIKU 8 ZA KONGAMANO MJINI KILIMANJARO-MOSHI ZIMEMALIZIKA KWA USHINDI MKUBWA.








Friday, 2 March 2018

NENO LA BARAKA LA MWEZI WA TATU NA NABII LINUS TESHA






NENO LA BARAKA LA MWEZI WA TATU.
Matatizo Makubwa Uliyopitia,Mwezi Huu Wa Tatu,
Mungu Ataachilia Baraka Kubwa Katika Maisha Yako.
The Great The Problem,
The Great The Blessings.
Pokea Baraka Kubwa Mwezi Huu Wa Tatu.
#Kumbuka Kesho Jumapili Tunaanza Kongamano Letu Moshi-Kilimanjaro.
#Promxn.

KONGAMANO KUBWA LA UDHIIRISHO WA ROHO MT. KUFANYIKA MOSHI-KILIMANJARO


Unasumbuliwa Na Madeni,Umaskini,Magojwa Ama roho Za Mizimu,Ni Siku Nane Tu Za Kinabii Na Udhiirisho Wa Nguvu Za Roho Mt.
Njoo Na Familia Yako Bwana Atakuweka Huru Kumbuka Nabii Linus Tesha Na Bishop King Mwangasa Watakuhudumia.
#Prophet Linus Tesha.
#Save Date 4-11/march/2018.