2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.
Sunday, 23 April 2017
Friday, 21 April 2017
NABII LINUS TESHA AKUTANA NA MAAJABU PINDI YUPO SAFARINI KUELEKEA DODOMA
06:46
No comments
#MAAJABU,;LEO WAKAT NINATOKEA DAR KURUD DOM NLISHUKA ENEO AMBALO NILIPATA AJALI MBAYA (MOROGORO)MWAKA JANA MWEZ KAMA HUU TAR23.,
SASA CHAAJABU NA KUSHANGAZA NILIBADILIKA MWONEKANO,NIKANG'AA SANA..HII IMESHANGAZA HATA VIJANA NLIOKUA NAO.
HII INAMAANISHA MALAIKA WALIONIOKOA BADO WALIKUA PALE KUNISUBR NITOE SHUKRAN,.
SASA CHAAJABU NA KUSHANGAZA NILIBADILIKA MWONEKANO,NIKANG'AA SANA..HII IMESHANGAZA HATA VIJANA NLIOKUA NAO.
HII INAMAANISHA MALAIKA WALIONIOKOA BADO WALIKUA PALE KUNISUBR NITOE SHUKRAN,.
N.K.HIZI PICHA HAZIJA EDITIWA...
PIA KAMA UNAMAWAZO MABAYA NA KEJELI AU KASHFA USI LIKE WALA KUCOMENT CHOCHOTE.
PIA KAMA UNAMAWAZO MABAYA NA KEJELI AU KASHFA USI LIKE WALA KUCOMENT CHOCHOTE.
FOR GOD BE THE GLORY..#propheticMachn
Tuesday, 18 April 2017
Monday, 17 April 2017
SIKU MBILI ZA UNABII,UPONYAJI.MIUJIZA NA UKOMBOZI JIJINI DAR ES SALAAM
05:49
No comments
Habari njema kwa wana Daresalama kwa siku mbili za Maajabu Ambapo Nabii
Linus Tesha aka The Prophetic Machine atafanya Ibada ya kukutana na mtu
mmoja mmoja siku ya kesho jumanne Kuanzia saa nane mchana na jumatano ni
ibada kubwa ya unabii,uponyaji.ukombozi muda ni saa kumi jioni
hakikisha ukosi siku hizi mbili za maajabu.ubarikiwe ufikapo upatapo
Tangazo hili mjulishe na mwingine kwa mawasiliano piga 0713040730.
#Prophetic machine in Town For Two Days Only Dont miss.....
#Prophetic machine in Town For Two Days Only Dont miss.....
Thursday, 13 April 2017
SEMINA KUBWA YA PASAKA MJINI DODOMA KUONGOZWA NA NABII LINUS TESHA
11:44
No comments
The power of Ressurection In My Life Ni Semina Kubwa Ya Pasaka Nitakayoifanya Hapa Mjini Dodoma Siku Ya Ijumaa Mpaka Jumapili Hakikisha Ukosi katika semina hii,na siku ya ijumaa na jumamosi muda ni saa 10jioni isipokuwa jumapili tutaanza mapema sana saa mbili asubuhi Tukihitimisha kwa ibada kuu ya Pasaka.upatapo tangazo hili mjuze na mwingine.
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic machine.
-Prophetic machine.
Tuesday, 11 April 2017
NABII LINUS TESHA KUFANYA KONGAMANO LA BARAKA LEO DAR ES SALAAM.
14:49
No comments
Lile Kongamano Kubwa La Baraka Litafanyika Leo Jumatano saa Kumi kamili jioni Hapa Jijini Dar Es Salaam Njia Panda Segerea Nyuma Ya Godauni La Ushirika ...Kongamano Hili Ni Siku Moja Tu Hakikisha Hukosi Upatapo Tangazo Hili Mjulishe Na Mwingine Kwa Mawasiliano zaidi piga 0713040730
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machine
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machine
Saturday, 8 April 2017
JUMAPILI YA KUPOKEA MWONEKANO WA KIMUNGU BY PROPHET LINUS TESHA
09:44
No comments
Ibada Ya Kesho Ni Kupokea Muonekanao Wa Ki Mungu Na Huwezi Kutofautishwa Kama Huna Muonekano Wa Ki Mungu Wote Mnakaribishwa.....
Mwanzo 1:27
Mwanzo 1:27
Our Sunday Service Tomorrow Is To Receive God's Likeness make sure You Don't Miss The Service,Since You Can't be differentiated without Having the God's Likeness.
Genesis 1:27
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machin
Genesis 1:27
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machin
Wednesday, 5 April 2017
Tuesday, 4 April 2017
NABII LINUS TESHA KUTANGAZA MWEZI WA NNE NI MWEZI WA MUONEKANO MPYA.
06:55
No comments
Mwanzilishi na Mbeba Maono wa Mrd International Prophetic Ministries Tanzania Nabii Linus Tesha Kutangaza Rasmi Mwezi Wa Nne Ni Mwezi Wa Muonekano Mpya Na Ameendelea Kusema Ndani Ya Mwezi Huu Maisha Ya Watu Pamoja Na Shughuli Zao Zinakwenda Kutofautishwa Kwa Kupata Muonekano Mpya Kila Aliye Onewa Mahala popote pale Huu ni mwezi wake wa kupokea Baraka za kutofautishwa na unapotofautishwa Mafanikio yanakuwa sehemu ya maisha yako.
Pokea Baraka za kutofautishwa ndani ya mwezi huu wa nne.
Pokea Baraka za kutofautishwa ndani ya mwezi huu wa nne.
KONGAMANO KUBWA LA BARAKA KUFANYIKA IJUMAA HII DODOMA
03:17
No comments
Ni ijumaa hii ya Tarehe 7 mwezi wa 4(nne) nitakuwa na kongamano kubwa la siku moja la kufungua Baraka za mwezi wa nne(4) litakalo anza majira ya saa kumi jioni hapa Mjini Dodoma nyuma ya Bunge mkabala na veta club hakikisha hupangi kukosa.Huu ni mwezi wa kutofautishwa katika maisha yako.
Alika na mwingine upatapo Tangazo hili.Wote mnakaribishwa.
-Prophetic machine.
-Prophet Linus Tesha.
Saturday, 1 April 2017
KITABU CHA KUTEKA NA KUPOKONYA BARAKA SASA KINAPATIKANA
07:30
No comments
Kitabu cha kuteka na Kupokonya Baraka ni kitabu kilichoandikwa naMtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha Ni kitabu ambacho ukikisoma ni lazima njia zako zibadilike kutoka katika hali ya utasa na kwenda utele Daima ni kitabu kilichobeba Mafunuo ya ki Mungu,Sasa kinapatikana kwa nambari 0713040730/0719462642.Hata kama upo mbali wewe wasiliana nasi tutakufikishia
TOUCH THE WORLD BY THE POWER OF GOD.
MRD MEDIA INFORMATION.
TOUCH THE WORLD BY THE POWER OF GOD.
MRD MEDIA INFORMATION.





















