Tuesday, 4 April 2017
Home »
» KONGAMANO KUBWA LA BARAKA KUFANYIKA IJUMAA HII DODOMA
KONGAMANO KUBWA LA BARAKA KUFANYIKA IJUMAA HII DODOMA
03:17
No comments
Ni ijumaa hii ya Tarehe 7 mwezi wa 4(nne) nitakuwa na kongamano kubwa la siku moja la kufungua Baraka za mwezi wa nne(4) litakalo anza majira ya saa kumi jioni hapa Mjini Dodoma nyuma ya Bunge mkabala na veta club hakikisha hupangi kukosa.Huu ni mwezi wa kutofautishwa katika maisha yako.
Alika na mwingine upatapo Tangazo hili.Wote mnakaribishwa.
-Prophetic machine.
-Prophet Linus Tesha.








0 comments:
Post a Comment