FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Tuesday, 4 April 2017

NABII LINUS TESHA KUTANGAZA MWEZI WA NNE NI MWEZI WA MUONEKANO MPYA.

Mwanzilishi na Mbeba Maono wa Mrd International Prophetic Ministries Tanzania Nabii Linus Tesha Kutangaza Rasmi Mwezi Wa Nne Ni Mwezi Wa Muonekano Mpya Na Ameendelea Kusema Ndani Ya Mwezi Huu Maisha Ya Watu Pamoja Na Shughuli Zao Zinakwenda Kutofautishwa Kwa Kupata Muonekano Mpya Kila Aliye Onewa Mahala popote pale Huu ni mwezi wake wa kupokea Baraka za kutofautishwa na unapotofautishwa Mafanikio yanakuwa sehemu ya maisha yako.
Pokea Baraka za kutofautishwa ndani ya mwezi huu wa nne.

0 comments:

Post a Comment