Wednesday, 21 December 2016
Home »
» PAPAA IN TOWN DODOMA PROPHET LINUS TESHA
PAPAA IN TOWN DODOMA PROPHET LINUS TESHA
05:04
No comments
Leo ni siku ya pili ya semina kubwa ya Hatma njema mjini Dodoma ambayo inaendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha hakikisha unafika, mahali ni nyuma ya Bunge mkabala na veta club leta wagonjwa na watu wote wenye shida mbalimbali nao watafunguliwa hakikisha upitwi na hizi Baraka za hatma njema.







0 comments:
Post a Comment