FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Tuesday, 28 November 2017

FUATILIA MATUKIO YOTE YA SHEREHE YA MIUJIZA DODOMA TANZANIA.










































































Tunamshukuru Mungu  Amepata Kutenda Mambo Makuu Kupitia Watumishi Wake Katika Siku Zote Za Sherehe Ya Miujiza Dodoma Tanzania,Ni Wengi Wamefunguliwa Na Kupokea Miujiza Yao,  Hata Sasa Mungu Ni Mkuu Na Neema Yake Imedhiirika Juu Ya Kusanyiko Kubwa.
Kwa Huduma Zetu Tupigie 0713040730/0765288541

Thursday, 9 November 2017

SHEREHE YA MIUJIZA TANZANIA NA NABII LINUS TESHA DODOMA.











Nabii Mkuu Linus Tesha Wa Makanisa Ya Mrd Tanzania,anakualika Katika Sherehe Kubwa Ya Miujiza Tanzania Mkoani Dodoma,Itakayoa Anza Tar 23-26/11/2017, Saa Nane Mchana,Huku Sherehe Hii Kubwa Ya Miujiza Tanzania,Ikihudhuriwa Na Nabii Mkuu Kama Honest Malya(Dar es salaam),Mtume Alex(Arusha),Mtume Samwel(Dodoma),Na Wengine Wengi,Usipange Kukosa Wote Mnakaribishwa.

Wednesday, 8 November 2017

NABII LINUS TESHA KUONGOZA MAELFU KATIKA SHEREHE KUBWA YA MIUJIZA TANZANIA-DODOMA.











Sherehe Ya Miujiza Tanzania Kufanyika Dodoma Mitume Na Manabii Kutoka Ndani Na Nje Ya Tanzania,Wakiongozwa Na Nabii Kiongozi ,Nabii Linus Tesha,Ni Siku 4 Tu,Watu Wote Mnakaribishwa.......,#Prophet Linus Tesha.
Contact Us 0713040730/0719462642.

Monday, 30 October 2017

IBADA YA UKOMBOZI NA NABII LINUS TESHA JIJINI DAR ES SALAAM TZ


Ibada Kubwa Ya Ukombozi Kufanyika Jijini Dar Es Salaam Tanzania Siku Ya Jumatano(One To One Prophecy,Saa 8 Mchana) Na Alhamis Saa Kumi Jioni Njia Panda Segerea Majumba Sita,Ambapo Ibada Hii Kubwa Itaongozwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii Linus Tesha,Utapata Kushuudia Wenye Magonjwa Sugu Kama Moyo,Kansa,Kisukari,Stroke,Presha,Vinakauka Kwa Uweza Wa Roho Mtakatifu,Hakikisha Hupangi Kukosa.Uponyaji Ni Sasa.Usipange Kukosa.