FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Thursday, 14 June 2018

UGAWAJI WA VIPEPERUSHI MJINI MOSHI-KILIMANJARO







Katika Ugawaji Wa Vipeperushi Mjini Moshi-Kilimanjaro,Juu Ya Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana,Huku Likiendeshwa Na Nabii Mkuu Linus Tesha Na Mwenyeji Bishop Mwangasa Wa Ufufuo Na Uzima,Ambapo Kongamano Hilo Linatarajia Kufanyika Tar 14-17/6/2018,Kuanzia Majira Ya Saa Tisa Alasiri Na Jumapili Ni Saa 4 Asubuhi.Usikose

SHINE FM 95.1 MOSHI-KILIMANJARO




Katika Radio Ya Mjini Moshi-Kilimanjaro Shine Fm 95.1,Ni Katika Maandalizi Ya Kukuhabarisha Ujio Wa Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana,Ambapo Muongozaji Ni Bishop King Mwangasa Na Mgeni Kutoka Makao Makuu Mwa Tanzania Major Prophet Linus Tesha,Nakualiaka Usikose!!

Sunday, 10 June 2018

KONGAMANO KUBWA LA KUKUMBUKWA NA BWANA KILIMANJARO



Siku Ya Tar 14-17/06/2018 Bishop Mwangasa Na Nabii Linus Tesha Wamekuandalia Kongamano Kubwa La Kihistoria Katika Mji Wa Moshi Kilimanjaro,Usipange Kukosa.

Sunday, 27 May 2018

Mwanza Last Updates....




Tuesday, 3 April 2018

USIKU WA PASAKA NA NABII LINUS TESHA DODOMA















































































Add caption