FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Friday, 2 March 2018

KONGAMANO KUBWA LA UDHIIRISHO WA ROHO MT. KUFANYIKA MOSHI-KILIMANJARO


Unasumbuliwa Na Madeni,Umaskini,Magojwa Ama roho Za Mizimu,Ni Siku Nane Tu Za Kinabii Na Udhiirisho Wa Nguvu Za Roho Mt.
Njoo Na Familia Yako Bwana Atakuweka Huru Kumbuka Nabii Linus Tesha Na Bishop King Mwangasa Watakuhudumia.
#Prophet Linus Tesha.
#Save Date 4-11/march/2018.

Thursday, 8 February 2018

SEMINA KUBWA DODOMA KUPOKEA BARAKA ZA KURITHI ZA MWAKA 2018 NA PROPHET LINUS TESHA PAMOJA NA MTUME SAMUEL LUMBU.


Dodoma Dodoma Dodoma!!
Get Ready Ni Siku Tatu Tu,
Apostle Samuel Lumbu Atakuwepo Pia,
Ni Semina Itakayo Fungua Milango Mingi Ya ,
Baraka Kwako Mwaka Huu 2018......Be Connected!
Usikose!
-Promxn.

FUATILIA MAMA ALIYEGUSWA NA CLIP YA UNABII YOUTUBE YA PROPHET LINUS TESHA .


KUPITIA USHUUDA HUU BWANA AKAFANYE NJIA NA KWAKO.
Mama Ashuudia Kama Ifuatavyo;
Nilipokuwa Ofisini Kuna Mda Niliingia YouTube Nikakutana Na Clip Ya Prophet Linus Tesha,Nikamuuliza Mwenzangu Ebu Mtazame Huyu Nabii Anavyofanya Mambo Ya Ajabu,Nilijaribu Kupiga Namba Za Pale Lakini Hazikupatikana,Ndipo Nikampata tena Mtu Mwingine Ambaye Naye Alishasimuliwa Habari Za Nabii Linus Tesha,Nilipofuatilia Ndipo Nikaona Tangazo Siku Ya Jumatano Atakuwa Na Ibada,Nilipofika Ibadani Siku Hiyo,Nabii Linus Tesha Alipata Kunitabiria Mambo Makubwa Ambayo Ni Kweli Na Hakika Ninayo Pitia Katika Maisha Yangu,Kwanza Alitabiri Juu Ya Sehemu napofanyia kazi kukandamizwa kwangu,pia alitabiri juu ya kuumwa sana kwa Mume Wangu juu ya kupalaraizi, pia alinitabiria juu ya mauaji yaliyotokea upande wa ukoo wa Baba,Uliofanywa Na Mababu Kipindi Hicho,Yote aliyonitabiria,Nabii Linus Tesha Nikweli Kabisa,Mara Baada Ya Kutabiriwa ,Nabii Linus Tesha Aliniombea Na Kunambia Ndani Ya Siku Kumi Mambo Makubwa Yatatokea Kwangu,Na Kweli Nimemuona Mungu Akinipigania Kazini,Nimepata Kibali Sasa Na Mungu Wa Nabii Linus Tesha Amenipatia Kibali,Cha Safari Ya Kikazi Yule Boss Aliyekuwa Akinizuia Amehamishwa Kikazi Kutoka Dar es salaam kwenda Mkoani,Pia Kwa Sasa Mume Wangu Nimzima Kabisa Wa Afya,Kiukwel Na Mshukuru Huyu Mungu Wa Nabii Linus Tesha.
Hivyo Ndivyo Alivyo Shuudia Mama Huyo.
Mwezi Huu Mungu Atakupa Ushuuda Na Wewe Utakao Walazimu Adui Zako Kusurrender Mbele Zako.
#Prophet Linus Tesha.

Tuesday, 6 February 2018

LEO NABII LINUS TESHA ATAFANYA IBADA KUBWA JIJINI DAR ES SALAAM



Nabii Mkuu Wa Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Jana Jumanne Alikutana Na Mtu Mmoja Mmoja Kwa Unabii Juu Ya Maisha Yao,Wengi Walifunguliwa Baada Ya Maombi,Siku Ya Leo Jumatano Nabii Linus Tesha Ataendesha Ibada Kubwa Ya Unabii Na Ukombozi Hapa Jijini Dar Es Salaam.Njiapanda Segerea,Majumba Sita-Nyuma Ya Godauni La Ushirika,Muda Ni Saa 10Jioni.Njoo Na Watu Wa Nyumbani Kwenu Bwana Atasema Nanyi Kupitia Nabii Wake.Kwa Mawasiliano Piga 0713040730

Saturday, 3 February 2018

4TH FEB JUMAPILI YA KUONDOA VIFUNGO SUGU NA NABII LINUS TESHA MJINI DODOMA.













Usikose Jumapili Ya Kuondoa Mateso Sugu Mjini Dodoma Ambayo Itaongozwa na Nabii Linus Tesha Muda Saa 2 Asubuhi Nyuma Ya Bunge Mkabala na veta club hakikisha upangi kukosa kwa mawasiliano piga 0713040730.

FEBRUARY MONTH OF DOUBLE INHERITANCE-2018






Sunday, 21 January 2018

SUNDAY SERVICE MOSHI-GLORY OF CHRIST(UFUFUO NA UZIMA) WITH PROPHET LINUS TESHA







Tarehe Ya 21 JAN,2018 Nabii Linus Tesha Alipata Mualiko Wa Kuhudumia Kusanyiko La Watu Wa Mungu Mjini Moshi Katika Viwanja Vya Memorial Kwa Mchungaji Mwangasa Wa Kanisa Hilo La Glory Of Christ(Ufufuo Na Uzima),Mungu Amekuwa Mwema Na Watu Walibarikiwa Sana Huku Watu Wengi Wakiwa Wamepokea Uponyaji Juu Ya Maisha Yao.
Endelea Kufuatilia Huduma Zetu,Facebook Prophet Lnus Tesha,Instagram@prophet_linustesha,twitter@Prophet_LTesha.
Contact:0713040730/0765288541.
Wote Mnakaribishwa.