2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.
Tuesday, 28 March 2017
Monday, 27 March 2017
Friday, 24 March 2017
NO MORE DELAY IN MY FAMILY SUNDAY SERVICE BY PROPHET LINUS TESHA
16:04
No comments
NO MORE DELAY IN MY FAMILY.
Shalom Karibu katika ibada yetu ya jumapili ambayo itaanza saa nne(4) asubuhi mahali nyuma ya Bunge mkabala na veta club kwa kawaida familia nyingi hazifanikiwi kwasababu shetani ameshikilia mafanikio familia ikikombolewa hakuna kucheleweshwa tena na jumapili hii mimi mwenyewe Nabii Linus Tesha ntakwenda kuziweka familia zote huru katika jina la Yesu.Hii sio ya kukosa njoo na nduguyo.

Shalom, I welcome you in our sunday service that will begin 10:00AM here in Dodoma make sure you come this sunday, i shall set free all the families from the bondage of delay and will be no more delay again in the family in Jesus name.Because when the family is delivered everyone in the family must succeed.Don't miss the service.
For more info contact us 0713040730/0719462642
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machine.
For more info contact us 0713040730/0719462642
-Prophet Linus Tesha.
-Prophetic Machine.
Thursday, 16 March 2017
KAUFUNGUA BARAKA ZA FAMILIA
13:32
No comments
Tunaendelea.......
Siku Ya Pili
Semina ya Kufungua Baraka za Familia.
Kuna Roho Ya Utasa.
Hii Ni Roho amabayo Inazuia watu Kuzaa au kuzuia Utendaji Wa Jambo Jipya
Waatu wengi sana wanashindwa Kufanikiwa kwa sababu ya Roho hii ambayo inazuia watu kupokea Baraka ambazo Mungu amewafungulia.

FUATILIA MATUKIO YA SIKU YA 1 YA SEMINA YETU YA KUFUNGUA BARAKA ZA FAMILIA.
02:54
No comments
Katika siku ya kwanza ya semina yetu hapa mjini Dodomo huku ikiendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha Mambo makuu yalitokea huku watu wakitabiriwa na wagonjwa kupona kabisa na huu ni utabiri kati ya mmoja waliotabiriwa siku ya kwanza katika semina ya kufungua Baraka za familia Semina Ya Kufungua Baraka za Familia.
Siku 1
Unabii wa Binti ambaye Shetani aliharibu Kusudi la familia.
Unabii.
Nilipokuwa nakuangalia nilikuwa na mwona Daktari akipita Mbele yako.
Binti: akajibu Mimi Hapa ndo nasoma Udaktari.
Nikamwambia Mungu amenieleza kwamba udaktari ndo fani yako ambayo amekukusudia. Mungu amenionyesha Roho Ya Kukataliwa iko Juu Yako Na hii inasababisha kukataliwa Na wanaume.
Mungu amenionyesha Shida ya Familia. Mungu ameniambia Uchumi wa
Familia Ukiwa umefungwa Kabisa hata mambo hayaendi kabisa Mpaka kusoma
kwako imekuwa Tabu.
Mungu ameniambia nivyunje hii Roho ya ya Umasikini ambayo imetawala katika Familia
Binti akajibu Amen Nabii
Pokea kufunguliwa Kwako katika Uchumi wa Familia.kupitia unabii Mungu akafungue maisha yako na umkimbilie kwa maana unaweza jikuta upo sawa kumbe Baraka zako zimefungwa na Familia isipo funguliwa hakuna mafanikio.shalom

Wednesday, 15 March 2017
SEMINA KUBWA YA KUFUNGUA BARAKA ZA FAMILIA KUANZA LEO MJINI DODOMA.
04:11
No comments
Ile semina kubwa ya kufungua Baraka za familia inaanza jumatano mpaka jumapili wiki hii na semina hii itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha hakikisha ukosi ni hapahapa Dodoma nyuma ya Bunge mkabala na veta club.Wote mnakaribishwa.
USIKOSE SHULE YA KINABII TOKA TAREHE 6-8 APRIL BY MAJOR PROPHET LINUS TESHA
04:01
No comments
Kuanzia tarehe 6-8 mwezi wa nne(4) nitakuwa na shule ya kinabii(Prophetic school) hapa mjini Dodoma speaker General overseer Prophet Linus Tesha unaweza kufanya Booking kuanzia sasa na mwisho ni tarehe 31 mwezi huu wa tatu hakikisha unapiga nambari 0713040730 kwa mawasiliano zaidi.
#General Overseer Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.
#General Overseer Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.