FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Thursday, 16 March 2017

FUATILIA MATUKIO YA SIKU YA 1 YA SEMINA YETU YA KUFUNGUA BARAKA ZA FAMILIA.











































Katika siku ya kwanza ya semina yetu hapa mjini Dodomo huku ikiendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha Mambo makuu yalitokea huku watu wakitabiriwa na wagonjwa kupona kabisa na huu ni utabiri kati ya mmoja waliotabiriwa siku ya kwanza katika semina ya kufungua Baraka za familia Semina Ya Kufungua Baraka za Familia.
Siku 1
Unabii wa Binti ambaye Shetani aliharibu Kusudi la familia.
Unabii.
Nilipokuwa nakuangalia nilikuwa na mwona Daktari akipita Mbele yako.
Binti: akajibu Mimi Hapa ndo nasoma Udaktari.
Nikamwambia Mungu amenieleza kwamba udaktari ndo fani yako ambayo amekukusudia. Mungu amenionyesha Roho Ya Kukataliwa iko Juu Yako Na hii inasababisha kukataliwa Na wanaume.

Mungu amenionyesha Shida ya Familia. Mungu ameniambia Uchumi wa Familia Ukiwa umefungwa Kabisa hata mambo hayaendi kabisa Mpaka kusoma kwako imekuwa Tabu.
Mungu ameniambia nivyunje hii Roho ya ya Umasikini ambayo imetawala katika Familia
Binti akajibu Amen Nabii
Pokea kufunguliwa Kwako katika Uchumi wa Familia.kupitia  unabii Mungu akafungue maisha yako na umkimbilie kwa maana unaweza jikuta upo sawa kumbe Baraka zako zimefungwa na Familia isipo funguliwa hakuna mafanikio.shalom

0 comments:

Post a Comment