Thursday, 9 March 2017
Home »
» NABII LINUS TESHA KUFANYA IBADA KUU YA KIKUHANI KUSIFU NA KUABUDU JUMAPILI HII
NABII LINUS TESHA KUFANYA IBADA KUU YA KIKUHANI KUSIFU NA KUABUDU JUMAPILI HII
14:09
No comments
Jumapili ya tarehe 12 mwezi huu wa tatu hapa Dodoma Nabii Linus Tesha Atafanya Ibada Kubwa Ya Kikuhani Ya Kusifu Na Kuabudu Huku Waimbaji Mbalimbali Kuhudhuria Ibada Hiyo akiwemo Ruth Moza,Salvina Tesha,Subira mwikwabi,Kosmasi kiwili,Deborah Lusinde,Philipo Boniphace,Maro Mnyera pamoja na waimbaji wengi pia Nabii Linus Tesha Anatuambia huu mwezi ni Mwezi Kuteka na Kupokonya na Hii ni Kwa wababe tu maana ili umiliki mwezi huu ni lazima uwe mbabe.Karibu Ibadani ni nyuma ya Bunge tu mkabala na Veta Club.







0 comments:
Post a Comment