Saturday, 11 March 2017
Home »
» IBADA KUU YA KUSIFU NA KUABUDU KUONGOZWA LEO NA NABII LINUS TESHA DODOMA
IBADA KUU YA KUSIFU NA KUABUDU KUONGOZWA LEO NA NABII LINUS TESHA DODOMA
17:21
No comments
Ibada kuu ya kikuhani kusifu na kuabudu kufanyika leo mjini Dodoma huku ikiongozwa na Nabii Linus Tesha huku ikihudhuriwa na waimbaji mbalimbali toka sehemu mbalimbali Biblia inatuambia wamwabudio Mungu yawapasa kumwabudu katika Roho na kweli hakikisha hukosi hii,upatapo tangazo hili mjulishe na mwingine,wote mnakaribishwa.







0 comments:
Post a Comment