Haya ni baadhi ya matukio ya ibada ya kikuhani ya kusifu na kuabudu iliyofanyika Dodoama katika kanisa la mafunuo na ukombozi chini ya mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha siku ya jumapili Tarehe 12/03/2016.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.
2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11
I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.
Monday, 13 March 2017
JUMAPILI YA KIKUHANI YA KUSIFU NA KUABUDU MJINI DODOMA MAFUNUO NA UKOMBOZI
00:59
No comments
Haya ni baadhi ya matukio ya ibada ya kikuhani ya kusifu na kuabudu iliyofanyika Dodoama katika kanisa la mafunuo na ukombozi chini ya mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha siku ya jumapili Tarehe 12/03/2016.
Saturday, 11 March 2017
IBADA KUU YA KUSIFU NA KUABUDU KUONGOZWA LEO NA NABII LINUS TESHA DODOMA
17:21
No comments
Ibada kuu ya kikuhani kusifu na kuabudu kufanyika leo mjini Dodoma huku ikiongozwa na Nabii Linus Tesha huku ikihudhuriwa na waimbaji mbalimbali toka sehemu mbalimbali Biblia inatuambia wamwabudio Mungu yawapasa kumwabudu katika Roho na kweli hakikisha hukosi hii,upatapo tangazo hili mjulishe na mwingine,wote mnakaribishwa.
Thursday, 9 March 2017
NABII LINUS TESHA KUFANYA IBADA KUU YA KIKUHANI KUSIFU NA KUABUDU JUMAPILI HII
14:09
No comments
Jumapili ya tarehe 12 mwezi huu wa tatu hapa Dodoma Nabii Linus Tesha Atafanya Ibada Kubwa Ya Kikuhani Ya Kusifu Na Kuabudu Huku Waimbaji Mbalimbali Kuhudhuria Ibada Hiyo akiwemo Ruth Moza,Salvina Tesha,Subira mwikwabi,Kosmasi kiwili,Deborah Lusinde,Philipo Boniphace,Maro Mnyera pamoja na waimbaji wengi pia Nabii Linus Tesha Anatuambia huu mwezi ni Mwezi Kuteka na Kupokonya na Hii ni Kwa wababe tu maana ili umiliki mwezi huu ni lazima uwe mbabe.Karibu Ibadani ni nyuma ya Bunge tu mkabala na Veta Club.
Saturday, 4 March 2017
IBADA KUBWA YA WAFALME KUFANYIKA DODOMA JUMAPILI HII NA NABII LINUS TESHA.
11:37
No comments
Mrd International Prophetic Ministry Dodoma inakuletea ibada kubwa ya Wafalme jumapili hii pale Dodoma nyuma ya Bunge Mkabala na Veta Club Ni ibada ya aina yake ambapo ndani ya mwezi huu ni lazima uwe mfalme maana mfalme ni mmliki na ili umiliki ni lazima uteke na kupokonya Baraka zako mikononi mwa Adui ...Hakikisha upitwi, na Ibada hii itaendeshwa na Mtumishi Wa Mungu Nabii Linus Tesha.
#Prophetic Machine.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.
#Prophet Linus Tesha.
Wednesday, 1 March 2017
SEMINA YA KUTEKA NA KUPOKONYA KUFANYIKA DODOMA
15:26
No comments
Usipange kukosa semina kubwa ya kuteka na kupokonya isaya 8:1 inayoendelea mjini Dodoma huku ikiongozwa na mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha mahali semina inapofanyika ni nyuma ya Bunge mkabala na veta club.hakikisha hukosi maana mwezi wa tatu ni mwezi wa kumiliki pesa.














