FOUNDER AND PRESIDENT

MAJOR PROPHET LINUS TESHA

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka 2018 Umejaa Baraka Nyingi,Na Utashuudia Mungu Akikuinua Na Kukumilikisha Mambo Makubwa Sana.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Kwa Maombezi,Uponyaji Na Unabii,Pamoja Na Kukutana Na Nabii Linus Tesha Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730/0765288541.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Makao Makuu Ya Huduma Yetu Ya MRD Yapo Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

Mwaka Huu Urithi Haki Yako Ambayo Adui Aliishikilia Kwa Muda Mrefu Na Ndio Kusudi Ambalo Mungu Ameliweka Ndani Yako Toka Awali.

2018 A Year Of Inheritance,Eph 1:11

I Am Major Prophet Linus Tesha,Founder Of Mrd Int'l Prophetic Ministries Tanzania,Be Connected With Us Always.

Wednesday, 5 April 2017

Msukule warejeshwa Na Nabii Linus Tesha

Uvimbe uliowekwa Tumboni na Mke mweza Waonekana. By Prophet Linus Tesha

Nabii Linus Tesha afichua Mipango ya Maadui

Tuesday, 4 April 2017

Uthibitisho wa Unabii aliotoa Nabii Linus Tesha

NABII LINUS TESHA KUTANGAZA MWEZI WA NNE NI MWEZI WA MUONEKANO MPYA.

Mwanzilishi na Mbeba Maono wa Mrd International Prophetic Ministries Tanzania Nabii Linus Tesha Kutangaza Rasmi Mwezi Wa Nne Ni Mwezi Wa Muonekano Mpya Na Ameendelea Kusema Ndani Ya Mwezi Huu Maisha Ya Watu Pamoja Na Shughuli Zao Zinakwenda Kutofautishwa Kwa Kupata Muonekano Mpya Kila Aliye Onewa Mahala popote pale Huu ni mwezi wake wa kupokea Baraka za kutofautishwa na unapotofautishwa Mafanikio yanakuwa sehemu ya maisha yako.
Pokea Baraka za kutofautishwa ndani ya mwezi huu wa nne.

KONGAMANO KUBWA LA BARAKA KUFANYIKA IJUMAA HII DODOMA


Ni ijumaa hii ya Tarehe 7 mwezi wa 4(nne) nitakuwa na kongamano kubwa la siku moja la kufungua Baraka za mwezi wa nne(4) litakalo anza majira ya saa kumi jioni hapa Mjini Dodoma nyuma ya Bunge mkabala na veta club hakikisha hupangi kukosa.Huu ni mwezi wa kutofautishwa katika maisha yako.
Alika na mwingine upatapo Tangazo hili.Wote mnakaribishwa.
-Prophetic machine.
-Prophet Linus Tesha.

Saturday, 1 April 2017

KITABU CHA KUTEKA NA KUPOKONYA BARAKA SASA KINAPATIKANA

Kitabu cha kuteka na Kupokonya Baraka ni kitabu kilichoandikwa naMtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha Ni kitabu ambacho ukikisoma ni lazima njia zako zibadilike kutoka katika hali ya utasa na kwenda utele Daima ni kitabu kilichobeba Mafunuo ya ki Mungu,Sasa kinapatikana kwa nambari 0713040730/0719462642.Hata kama upo mbali wewe wasiliana nasi tutakufikishia
TOUCH THE WORLD BY THE POWER OF GOD.
MRD MEDIA INFORMATION.